Nabii TB Joshua alifariki dunia mwezi Juni akiwa na umri wa miaka 57Image caption: Nabii TB Joshua alifariki dunia mwezi Juni akiwa na umri wa miaka 57
Moto umewaka usiku wa Jumatatu katika gala lililopo ndani ya kanisa la muhubiri aliyekuwa na mwenye ushawishi wa Nigeria TB Joshua mjini Lagos.
Moto huo ulitokea wakati wa mchakati wa mazishi yake ulioanza jana kwa kuwasha mishumaa kwa ajili ya kumuenzi Nabii TB Joshua aliyefariki mwezi uliopita akiwa na umri wa miaka 57.
Moto uliwaka wakati wa ibada ya iliyokuwa sehemu ya mazishi ya TB Joushua iliyoongozwa na mjane wake Everlyne Joshua
Moto uliwaka wakati wa ibada ya iliyokuwa sehemu ya mazishi ya TB Joushua iliyoongozwa na mjane wake Everlyne JoshuaImage caption: Moto uliwaka wakati wa ibada ya iliyokuwa sehemu ya mazishi ya TB Joushua iliyoongozwa na mjane wake Everlyne Joshua
Waombolezaji na waumini waliokusanyika katika kanisa lake la Synagogue Church of All Nations kwa ibada ambayo iliongozwa na mjane wa TB Joshua Evelyn Joshua walikanyagana walipokuwa wakikimbia kuokoa maisha yao.
Kanisa hilo limesema moto huo ulitokana na hitilafu ndogo ua umeme. Limesema moto huo umezimwa na hapakuwa na mtu yeyote aliyeathiriwa na moto huo.
TB Joshua atazikwa katika eneo la kanisa hilo Ijumaa.
Duuu mwezi bado mazishi kwani matarajio nini, kufufuka au.
ReplyDeleteAmezikwa juzi
ReplyDelete