Tanzia: Mwalimu Kashasha amefariki dunia



Mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Comments