JOB NDUGAI AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa Hospitalini baada ya kuugua ghafla.


Ikumbukwe Ndugai alikuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 akajiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa na aliendelea kuitetea kwa kuchukua fomu tena mwaka huu 2025 na ameshinda kwenye kura za maoni na kushinda kwa kura za maomi 5690


Mnamo January 22 mwaka 1963Ndugai alizaliwa na Leo 6 Agost   2025 ameiaga Dunia.

Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.    

Comments