Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara Dk Cyril Chami amefariki dunia

  

 


Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dk Cyril Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Alhamisi Novemba 5, 2020 katika hospitali ya Benjamini Mkapa mjini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

 Dk Cyril Chami aliwai kuwa mbunge wa Moshi jijini katika serikali ya awamu ya nne na zamewahi kuwa naibu  wizara ya mambo ya nje na ushirikiano Afrika mashariki, naibu waziri wa viwanda.

Comments