SOKO LA KARIAKOO LAWAKA MOTO




Moto umezuka katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa mujibu wa mashuhuda wamesema moto huo ulianza majira ya saa tatu usiku huu na kusambaa kwa kasi katika maeneo utofauti ya solo hill.









Comments