Mlinda mlango wa klabu ya Simba, Beno Kakolanya leo, Agosti 19, 2021 amefiwa na Mama yake mzazi, Eva Mwankusye, msiba upo nyumbani kwao Isyesye jijini Mbeya.
Akiongea na WasafiMedia, Kakolanya amesema “Mama alikuwa anaumwa Sukari na Nimonia hadi umauti unamkuta Mama alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufaa Mbeya,”.
Kakolanya anatarijiwa kurejea nchini kesho, Agosti 20 akitokea nchini Morocco ambapo simba imeweka kambi yake Kwa maandalizi ya msimu Mpya
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin
Comments
Post a Comment