CCM kuwafunda watendaji wake





Makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara Ndugu Philip Japhet Leo Novemba 3,2021 amefungua mafunzo ya Makatibu wa chama Mikoa na Wilaya kote nchini katika ukumbi wa Halmashauri kuu,Makao makuu ya CCM Jijini Dodoma.


Mafunzo hayo ya simu tatu yatakuwa na mada 17 kwa lengo la kuwajengea uwezo na uelewa wa kutambua madhumuni ya misingi ya chama cha mapinduzi katika ujenzi wa Taifa.

Comments