Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imethibitisha kuahirishwa kwa Kesi ya Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Mh. Tundu A. Lissu hadi Juni 2, 2025. Taarifa hiyo imetolewa baada ya upande wa mashtaka kushindwa kukamilisha uchunguzi wa Shauri hilo na kupelekea kuiomba mahakama kupanga tarehe nyingine.
Shauri la Kesi hiyo ya uchunguzi wa Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu limebainishwa hii Leo Mei 19 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Godfrey
Hata hivyo Mhe Tundu Lissu anakabiliwa na kesi mbili tofauti za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu, ikiwemo Kesi ya Uhaini na kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii ikiwemo you tube.
Comments
Post a Comment